Hivi karbuni staa huyo alikuwa huko durban katika mapumziko yake ya kawaida katika mji wa St Lucia ambapo kwa umaarufu aliokuwa nao hapa Afrika Kusini kila kona aliyokuwa anapita washabiki wake walikuwa wanampa tabu kutokana na wengi wao kutaka kupiga picha naye za kumbukumbu.Jionee mwenyewe pcha hizi mbalimbali akiwa huko durbani
Friday, 31 January 2014
UNAMJUA STAA ANAYEBAMBA AFRIKA KUSINI KATIKA MCHEZO WA GENERATION? NINI KAFANYA NA WAPI?
Hivi karbuni staa huyo alikuwa huko durban katika mapumziko yake ya kawaida katika mji wa St Lucia ambapo kwa umaarufu aliokuwa nao hapa Afrika Kusini kila kona aliyokuwa anapita washabiki wake walikuwa wanampa tabu kutokana na wengi wao kutaka kupiga picha naye za kumbukumbu.Jionee mwenyewe pcha hizi mbalimbali akiwa huko durbani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment