Baada ya uamuzi wake huo kuufanya tarehe28 mwezi huu na kuchaguliwa kama mgombea mkuu wa uraisi katika uchaguzi wa mwaka hapa Afrika Kusini pitia DA,kesho yake viongozi pamoja na wanachama aliowaacha katika chama chake wakatoa tamko la chama,na video hii ni moja kati ya tamko hilo kama nlivyoshudia katika mkutano huo na waandishi wa habari katika ofisi za chama hiko zilizopo mtaa wa Jorisen katika kitongoji cha Braamfontein hapa Johannesburg
Friday, 31 January 2014
SIKILIZA TAMKO WALIOTOA CHAMA CHA SIASA CHA AGANG BAADA YA RAIS WAKE KUKIMBILIA CHAMA KIKUU CHA SIASA CHA HAPA DA.NINI WAMESEMA BASI?
Dr Mamphele Ramphele katika wiki hii ndio ametengeneza vichwa vingi vya habari hapa Afrika Kusini katika karibu vituo vyote vya habari,baada ya uamuzi wake wa kukiahama chama anachokiongoza cha AGANG SA akiwa ndie raisi wake na kukimbilia chama kikuu cha siasa hapa Afrika Kusini cha DA ambacho kinaongozwa na Bi Helen Zille bila ya kutoa taarifa kwa wanachama na viongozi wenzake katika chama hicho.
Baada ya uamuzi wake huo kuufanya tarehe28 mwezi huu na kuchaguliwa kama mgombea mkuu wa uraisi katika uchaguzi wa mwaka hapa Afrika Kusini pitia DA,kesho yake viongozi pamoja na wanachama aliowaacha katika chama chake wakatoa tamko la chama,na video hii ni moja kati ya tamko hilo kama nlivyoshudia katika mkutano huo na waandishi wa habari katika ofisi za chama hiko zilizopo mtaa wa Jorisen katika kitongoji cha Braamfontein hapa Johannesburg
Baada ya uamuzi wake huo kuufanya tarehe28 mwezi huu na kuchaguliwa kama mgombea mkuu wa uraisi katika uchaguzi wa mwaka hapa Afrika Kusini pitia DA,kesho yake viongozi pamoja na wanachama aliowaacha katika chama chake wakatoa tamko la chama,na video hii ni moja kati ya tamko hilo kama nlivyoshudia katika mkutano huo na waandishi wa habari katika ofisi za chama hiko zilizopo mtaa wa Jorisen katika kitongoji cha Braamfontein hapa Johannesburg
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment