Mastaa
kibao wametua Brazil kwa mitindo tofauti lakini muigizaji wa Titanic
Leoonardo DiCaprio ametia fora baada ya kuingia nchini humo akiwa na
meli kubwa ya kifahari aliyokodi kwa safari hiyo, meli hiyo inamilikiwa
na mmiliki wa Manchester City, Mansour bin Zayed Al Nahyan.
Meli hiyo imetajwa kuwa na Swimming pool, chumba kikubwa cha mazoezi,
jumba la sinema na ukumbi mkubwa wa mikutano ukiacha mbali vyumba vya
kulalala na sehemu nyingine.
Muigizaji huyo amewachukua marafiki zake 21 na wanakula nao maisha katika safari hiyo huku wakishuhudia mechi kadhaa.
0 comments:
Post a Comment