Hayati Nelson Mandela ni miongono mwa the legends or Africa Icons ambao wamewahi kumek headlines kipindi cha miaka kadhaa iliyopita.Nelson Manela ni shujaa pekee aliyechangia kukomesha ukatili na manyanyaso yalokua yakiwakuta most of the africans.Kifo cha Nelson Mandela
kimeacha pengo kubwa sana ambalo kwasasa sidhani kama litazibika tena..
Na hii ni video inayoonesha nyumba ya kwanza kabisa alowahi kuishi
the late Nelson Mandela na familia yake, ambayo ipo maeneo ya Vilakazi
street in soweto South Africa.Na nyumba hiyo kwa sasa imegeuzwa kuwa
Makumbusho ya Taifa...!!!!!
Wednesday, 19 February 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment