Nchi ya Afrika Kusini ni nchi ambayo huwezi ifananisha na nchi yoyote katika bara la Afrika kwa kuwa na polisi wengi kupita na unavyofikiria.
Polisi hao wakiwa tayari kwa kazi hapa Afrika Kusini
Kutokana na uhalifu uliokithiri katika nchi hii kuna idara tofauti za polisi zinazidi hata hamsini na kila idara ina kazi yake.Polisi wa nchi hii kama utafika kwa mara kwanza hapa Afrika Kusini unaweza ukafikiri upo katika nchi ya Marekani kwa kuwa kila kona unayopita utakuta
polisi hao wamejaa.
Jeshi hilo la polisi la hapa lina kila kitu ambacho kinatakiwa kuwepo na polisi wengi wa nchi hii wanatembea na magari kama hawapo katika bara la Afrika,
Balaa ni pale kunapotokea uhalifu ,kutokana na techonologia ya mawasiliano waliyonayo ndani ya muda mfupi sana utaona polisi wakiwa eneo la tukio hilo.
Pollisi hawa wanasifika sana kwa kukamata watu na kuwarudisha makwao yani kama wewe ni mgeni wa nchi hii na vibali vya kuishi huna kama huna hela ya kuwapa pindi wanapokukamata usimlaumu mtu
Saturday, 15 February 2014
ANGALIA PICHA.KAMA HUWAJUI POLISI WA AFRIKA KUSINI WAANGALIE HAPA WENYEWE NI DAKIKA MOJA MBELE
Labels:
STREET HOTS
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment