Chama siasa cha DA kinachoongozwa na bi.Helen Zille juzi kiliitisha maandamano makubwa ya wanachama wake hapa Afrika Kusini.Maandamano hayo yaliokuwa na lengo moja tu kufeli kwa chama cha ANC katika ahadi zake.,
Magari ya polisi yakiimarisha usalama kabla
ya maandamano hayo
Wafuasi wa chama cha DA tayari kwa maandamano hapa johannesburg
Akiongea katika maandamano hayo kiongozi huyo wa DA alisema kuwa rais Jackob Zuma aliwaahidi wananchi katika kampeni zilizopita kuwa atatengeneza nafasi za ajira zipatazo milioni sita lakini badala yake ndani ya uongozi wake watu milioni moja na laki tano wamepoteza ajira zao na kukiita kitendo kitendo hicho kuwa ni kufeli kwa ANC kutimiza ahadi zake
Magari ya polisi yakiimarisha usalama kabla ya maandamano hayo
Kiongozi wa DA bi Helen Zille akiingia katika uwanja wa maandamano tayari kwa kuandamana
Friday, 14 February 2014
ANGALIA PICHA KILICHOTOKEA KATIKA MAANDAMANO YA CHAMA KIKUU CHA SIASA HAPA A.KUSINI CHA DA DHIDI YA ANC
Labels:
POLITICS
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment