Jiji la Johannesburg kwa mara nyingine limepata heshima ya kuandaa mashindano
ya golf kimataifa ya golf ambayo yameshirikisha washiriki toka nchi 24 dunianI.
Kwa hapa Afrika nchi zilizotuwakilisha katika mashindano hayo ni Afrika Kusini yenyewe,Zimbabwe na kwa upande wa Afrika Mashariki tumebahatika kuwakilishwa na nchi ya Kenya.
Jiji la Johannesburg limebahatika kufanikiwa andaa mashindano hayo baada ya kufuzu kwa vigezo vyote vilivyotakiwa na wahusika.
Kabla ya mashindano hayo kuanza leo hii hapo jana katika Hotel ya HILTON iliyopo Sandton katika jiji hili la Johannesburg kuliandaliwa hafla maalumu na jiji la Johannesburg katika kile walichokiita kama ufunguzi wa mashindano
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment