Shamrashamra za sherehe hizo zilifanyika katika bunge la johannesburg lililopo kona ya mitaa president
na risik hapa Johannesburg.Gwaride toka idara mbalimbali za usalama na kwaya zilipamba sherehe hizo wakati wa ufunguzi wa bunge hilo.
Viongozi mbalimbali wakitoa heshima zao katika gwaride hilo
Spika wa bunge la Johannesburg bi.Lindiwe Maseko.
Akizungumzia mafanikio hayo mkuu wa mkoa wa Johannesburg bi.Nomvula Mokonyane amesema kuwa jiji limepata mafanikio makubwa kwa kipindi kifupi kwa kujenga miradi mikubwa na ya kisasa kabisa.Akataja miradi hiyo kuwa ni ujenzi wa treini ya umeme toka pritoria mpaka johannesburg mjini,ujenzi wa daraja kubwa na la kisasa la Mandela bridge pamoja ujenzi wa kiwanja kikubwa na cha kimataifa cha ndege cha Oriver Thambo
0 comments:
Post a Comment