ANGALIA PICHA-MTOTO ANAPOCHEZA NA BABA YAKE,JE LINI RYAN GIGS ATASTAAFU KUCHEZA MPIRA?
Hapa
kushoto baada ya United kutwaa ubingwa those Days..Ince na mwanae Thom
Ince, kando Giggs anacheka...hapo kulia Thom katika mechi iliyopita
anacheza dhidi ya Giggs.....nahisi hata mtoto wa Thom anaweza kucheza na
Giggs. huyu babu atastaafu lini jamani?
0 comments:
Post a Comment