Majengo
mawili yameporomoka New York Marekani ambapo mpaka sasa imetoka ripoti
ya watu wawili kufariki na wengine kutoonekana huku 18 wakijeruhiwa na
wanne wakikimbizwa hospitali.Chanzo cha majengo hayo kuporomoka ni
mlipuko uliotokana na kuvuja kwa gesi ambapo askari wa zimamoto wakiwa
na vifaa vya kisasa wako kwenye eneo la tukio kuendelea kuzima moto.
Thursday, 13 March 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment