Dubai ndio jiji ambalo miaka takribani 20 iliyopita lilikuwa jangwa ambalo huwezi hata amini kama usingeiona hii picha ya miaka hiyo na jinsi jiji hilo lilivyo kwa sasa hivi.
Kipindi hicho ilikuwa hata huwezi kupatazama au kukaa kulikotokana na jua,vumbi na joto kali toka katka jiji hilo.
Hivi sasa tunapoongelea kuhusu Dubai ilivyo huwezi amini kabisa sababu ya huo mji jinsi
ulivyojengwa na ulivyopambwa na majengo mazuri ya kuvutia ambayo hata katika baadhi ya mataifa makubwa huwezi kuyaona.
Kwa kuonyesha kuwa wana jeuri kubwa kupitiliza katika jiji hilo ndio unakwenda likuta jengo refu kabisa duniani lenye ghorofa zaidi ya 150 liitwalo Burj Khalifa.
Saturday, 1 March 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment