Rais
Jakaya Mrisho kikwete akiongea kwa furaha na Waziri Mkuu Mhe Mizengo
Pinda, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi pamoja na
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe Samwel Sitta, Makamu
Mwenyekiti wa Bunge hilo Mhe Samia Suluhu Hassan Katibu wake Mhe Yahaya
Khamis Hamad na naibu katibu Dkt Thomas Kashilia na Mawaziri Mhe
William Lukuvi na Mhe Aboud baada ya zoezi la kuwaapisha Katibu na Naibu
Katibu wa Bunge Maalum lililofanyika Ikulu ndogo mjini Dodoma leo Machi
14, 2014.
Saturday, 15 March 2014
RAIS KIKWETE AKUTANA NA MARAISI WASTAAFU PAMOJA NA VIONGOZI WA BUNGE LA KATIBA
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Rais Wastaafu Mhe Olesegun Obasanjo
wa Nigeria, Festus Mogae wa Botswana, Mzee Benjamin William Mkapa, na
(walioketi kulia kwa Rais) Mhe Pedro Pires Rais Mstaafu wa Cape Verde,
Thabo Mbeki wa Afrika Kusini, Mhe Joachim Chisano wa Msumbiji na Rais wa
Benki ya Afrika Dkt Donald Kaberuka.
Labels:
POLITICS
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment