Kiulaini namna hii: Jordi Gomez akifunga bao la kwanza
KLABU ya Manchester City imefungwa mabao 2-1 na Wigana katika Nane Bora ya Kombe la FA.
Jordi Gomez alianza kuifungia
Wigan kwa penalti dakika ya 27 na James Perch akafunga la pili dakika ya
47, kabla ya Samir Nasri kuifungia Manchester City dakika ya 68.
Hizi ni habari njema kwa Arsenal ambayo itafurahia kukutana na Wigan katika Nusu Fainali Uwanja wa Wembley badala ya Man City.
0 comments:
Post a Comment