Vyombo vya habari nchini Marekani vinasema kuwa
huenda ndege hiyo ilikuwa ikituma data katika mtambo wa setllite kwa
muda wa masaa manne baada ya kutoweka kutoka katika mitambo ya rada
ikiwa njiani kuelekea Beijing.
Wanajeshi wa majini wa Marekani imetuma meli iliyo na Helikopta kadhaa hadi katika eneo mpya ndani ya bahari ya Hindi.
Maafisa wa serikali ya Marekani wameiambia
shirika la habari la ABC kuwa vitengo viwili vya mawasiliano katika
ndege iliyopotea ilikwama kuwasilisha data kwa muda tofauti, kumaanisha
kuwa janga baya halikutokea.
Source.BBC
0 comments:
Post a Comment