Carton Centre ndio jengo refu kabisa kabisa barani Afrika mpaka sasa hivi kutokana na urefu wake hakuna jengo lolote lile lingine barano Afrika ambalo linalifikia jengo hili.
Jengo hili liko katika nchi ya Afrika Kusini katika jiji mama au jiji maarufu kabisa kwa kila kitu la Johannesburg au ukipenda liite city of gold.
Katika mitaa ya comissioner na small au comissiner von weiligh ndio utalikuta jengo mahali lilipo.Urefu wa jengo hili kwenda juu ni zaidi ghorofa 52 ambazo uwezi kuta popote pale Afrka.Ndani ya jengo kuna kila kitu unachotaka na kabla ya kuwa ofisi za kawaida hapo nyuma zilikuwa ofisi za serikali kabla ya kuhamishiwa pritoria
Hilo jengo la katikati ndio Carton centre yenyewe ambayo ukiwa juu ya hilo ghorofa unaweza iona Johannesburg kwa ukubwa wake wote.
Monday, 3 February 2014
UMESHAWAHI LISIKIA JENGO REFU KABISA BARANI AFRIKA? JE,UNALIJUA WAPI LILIPO NA LINAITWAJE?UNGANA NAMI NKUPASHE KAMA HUJUI
Labels:
STREET HOTS
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment