
Friday, 21 March 2014
ANGALIA NDEGE ZILIZOWAHI KUPOTEA DUNIANI,BAADHI ZILIPATIKANA NA BAADHI HAZIKUPATIKANA KABISA
1. Amelia Earhart - 1937
Rubani
wa Kimarekani, Amelia Earhart alikuwa mwanamke wa kwanza kuvuka Bahari
ya Atlantic kuchunguza dunia, alipotea na ndege yake miongo saba
iliyopita. Inahisiwa kuwa ndege yake iliishiwa mafuta na kuanguka.

Saturday, 15 March 2014
RAIS KIKWETE AKUTANA NA MARAISI WASTAAFU PAMOJA NA VIONGOZI WA BUNGE LA KATIBA
HUYU NDIYE RAIS MASKINI KABISA DUNIANI,MAISHA YAKE NI SAWA NA MFUGAJI WA KAWAIDA TU
Ni kawaida kukuta maisha wanayoishi Wanasiasa ni tofauti na wapiga kura wao lakini sio hivyo kwa Rais wa Uruguay
ambae anaishi kwenye maeneo ya mashambani na anatoa sehemu kubwa ya kipato chake kusaidia watu masikini.
BOKO HARAMU WAZIDI SHAMBULIA HUKO NIGERIA
Polisi wakidhibiti ulinzi katika barabara za Maiduguri
Mamia
ya wapiganaji wa kundi la Boko Haram, wamekabiliana vikali na wanajeshi
wa serikali huku milipuko na milio ya risasi ikisikika mjini Maiduguri
Kaskazini Mashariki mwa Nigeria.
UONGOZI WA YANGA WARUDI NA FUNGU LA PESA YA MATUMIZI NA KULIKABIDHI OFISINI

Uongozi wa klabu bingwa ya Tanzania bara Dar Young Africans
umeonyesha mfano wa kuigwa kwa viongozi wengine wa soka nchini siku moja
baada ya kurudi kutoka Misri walipoenda na timu kwenye mchezo dhidi ya
Al Ahly.
MAREKANI YAANZA ISAKA NDEGE ILIYOPOTEA KWA VIFAA VIPYA
Subscribe to:
Posts (Atom)