Friday, 21 March 2014
ANGALIA NDEGE ZILIZOWAHI KUPOTEA DUNIANI,BAADHI ZILIPATIKANA NA BAADHI HAZIKUPATIKANA KABISA
1. Amelia Earhart - 1937
Rubani
wa Kimarekani, Amelia Earhart alikuwa mwanamke wa kwanza kuvuka Bahari
ya Atlantic kuchunguza dunia, alipotea na ndege yake miongo saba
iliyopita. Inahisiwa kuwa ndege yake iliishiwa mafuta na kuanguka.
Saturday, 15 March 2014
RAIS KIKWETE AKUTANA NA MARAISI WASTAAFU PAMOJA NA VIONGOZI WA BUNGE LA KATIBA
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Rais Wastaafu Mhe Olesegun Obasanjo
wa Nigeria, Festus Mogae wa Botswana, Mzee Benjamin William Mkapa, na
(walioketi kulia kwa Rais) Mhe Pedro Pires Rais Mstaafu wa Cape Verde,
Thabo Mbeki wa Afrika Kusini, Mhe Joachim Chisano wa Msumbiji na Rais wa
Benki ya Afrika Dkt Donald Kaberuka.
HUYU NDIYE RAIS MASKINI KABISA DUNIANI,MAISHA YAKE NI SAWA NA MFUGAJI WA KAWAIDA TU
Ni kawaida kukuta maisha wanayoishi Wanasiasa ni tofauti na wapiga kura wao lakini sio hivyo kwa Rais wa Uruguay
ambae anaishi kwenye maeneo ya mashambani na anatoa sehemu kubwa ya kipato chake kusaidia watu masikini.
UONGOZI WA YANGA WARUDI NA FUNGU LA PESA YA MATUMIZI NA KULIKABIDHI OFISINI
Uongozi wa klabu bingwa ya Tanzania bara Dar Young Africans
umeonyesha mfano wa kuigwa kwa viongozi wengine wa soka nchini siku moja
baada ya kurudi kutoka Misri walipoenda na timu kwenye mchezo dhidi ya
Al Ahly.
MAREKANI YAANZA ISAKA NDEGE ILIYOPOTEA KWA VIFAA VIPYA
Friday, 14 March 2014
ANGALIA PICHA BORA ZILIZOTIKISA MWAKA 2013
Miongoni
mwa picha hizo zimo za tukio la kigaidi lililoitikisa Afrika Mashariki,
la kuvamiwa kwa jengo la biashara la Westgate, Kenya.
Hizi ndizo ‘The most astonishing pictures of 2013’ kwa mujibu wa Reuters
MALAYSIA PLANE;CHINA DEBRI IMAGES 'NOT CONNECTED'
Chinese
satellite pictures of debris in the South China Sea are not connected
to the missing Malaysian airliner, Malaysia's transport minister says.
Hishammuddin Hussein also denied a US report that Flight MH370 might have flown for hours after contact was lost.
Chinese state TV is still treating the pictures as relevant and says a warship is continuing to hunt for the debris.
RAIS WA GAMBIA AKUBALI KUJITOA UANACHAMA KATIKA JUMUIYA MADOLA HILI NCHI YAKE ISIRUHUSU USHOGA NA USAGAJI
RAIS wa Gambia Yahya Jammeh amesema anataka kutekeleza mabadiliko ya sheria yatakayopelekea lugha rasmi ya nchi hiyo kubadilishwa kutoka Kiingereza hadi lugha asili. “Hatuamini tena kuwa ukitaka kuwa Serikalini
KITENDAWILI CHA KUIPATA NDEGE YA MALAYSIA BADO HAKIJAPATIKANA,WATAFUTAJI HAWAPATA KITU CHOCHOTE MPAKA SASA
Waziri wa ulinzi Hishammuddin Hussein (katikati) akikanusha madai ya ndege kukaa masaa manne hewani kabla ya kupotea.
Thursday, 13 March 2014
OSCAR TRIAL CONTINUES
A policeman takes part in the reconstruction of the hitting of the door
with the cricket bat during the trial of South African Paralympic
athlete Oscar Pistorius at the North Gauteng High Court in Pretoria on
Wednesday
ANGALIA PICHA-BARCELONA WALIPOICHAPA MAN CITY KATIKA LIGI YA MABINGWA WA ULAYA
Jubilant: Lionel Messi celebrates with his team-mates after giving the hosts the lead on the night
ANGALIA MAJENGO YALIOPOROMOKA HUKO NEW YORK MUDA SI MREFU UJAO
Majengo
mawili yameporomoka New York Marekani ambapo mpaka sasa imetoka ripoti
ya watu wawili kufariki na wengine kutoonekana huku 18 wakijeruhiwa na
wanne
MITAMBO YA SATELLITE YAONYESHA KITU KAMA MABAKI YA NDEGE YA MALAYSIA HILE ILIYOYOPOTEA
Picha zilizonaswa na mtambo wa satellite
Serikali
ya Uchina imechapisha picha zilizonaswa na mtambo wake wa satelite
zikionyesha mabaki ya kitu kipana kikielea katika bahari ya Kusini mwa
Uchina.Picha hizo zilipigwa siku ya Jumapili, saa ishirini na nne baada
ya ndege ya abiria ya Malaysia kutoweka ikiwa na abiria 239, lakini
haijabainika ikiwa vifaa hivyo ni vya ndege
THESE ARE THE MOST CRIMINALS CITY OF WORLD
Lagos, Nigeria
Tuesday, 11 March 2014
SOUTH AFRICA REVIEW RELEASED
President Jacob Zuma speaks at the release of South Africa's 20 year review document at the Sefako Makgatho Presidential Guesthouse in Pretoria, Tuesday, 11 March 2014. Zuma said the review was government's "factual and frank" account of how South Africa had fared since 1994.
Monday, 10 March 2014
OSCAR-HE DONT KNOW THE END OF HIS CASE WHAT WILL HAPEN
Olympic and Paralympic track star Oscar Pistorius reacts in the dock
during his trial for the murder of his girlfriend Reeva Steenkamp, at
the North Gauteng High
HATUA YA KUPUNGUZA MISHAHARA YA VIONGOZI WA SERIKALI HALIKUWA LA DHIHAKA-RAIS UHURU KENYATA
Rais wa
Kenya Uhuru Kenyatta, ameamuru maafisa wakuu watendaji wa mashirika ya
serikali kukubali mishahara yao kukatwa kwa asilimia 20, la sivyo
waachishwe kazi.
Akiongea kwenye kongamano la kitaifa
kuhusu gharama kubwa ya matumizi ya
SOUTH AFRICA BREAKDOWN THE RELATIONSHIP WITH RWANDA
SOUTH Africa on Sunday maintained its official silence on the reasons
for the sudden breakdown in relations with Rwanda and whether it
intended to up the ante in the tit-for-tat expulsions of diplomats.
RUSIA OPEN TO 'HONEST 'DIALOGUE IN UKRAINE
The General
Assembly could use a “Uniting for Peace” provision which allows the body
to hold an emergency session on Ukraine. (File photo: Reuters)
“We are
open to an honest, equal and objective dialogue with our foreign
partners to find a way to help all of Ukraine come out of the crisis,”
Lavrov said at a televised news conference in Moscow, in a clear
reference to the West.
MADRID WAICHAPA LEVANTE NA KUKAA KILELENI MWA LIGI KUU YA HISPANIA
MSHAHARA WA MWIZI TOKA KWA WALIMWENGU NDIO HUU HAPA
KIJANA ATEKETEZWA KWA MOTO BAADA YA KUHISIWA KUWA NI MWIZI WILAYANI KAHAMA
KITENDAWILI CHA NDEGE YA MALAYSIA ILIYOPOTEA BADO HAKITEGULIWA MPAKA SASA
Wakati
juhudi za kuisaka ndege iliyopotea ilipokuwa ikisafiri kutoka Malasyia
kuelekea Uchina zikiendelea, ndege moja ya Vietnam imeripoti kuwa imeona
kitu kinachofanana na mlango wa ndege kwenye ufuo wa bahari ya Kusini
mwa Uchina kwenye mwambao wa taifa hilo.
Saturday, 8 March 2014
PICTURE OF THE WEEK-SMALL BOY ON TOP OF THE WORLD
Hii ndio ambayo leo hii nimeichagua kuwa ndio picha bora kabisa ya wiki.Ilikuwa ni katika mchezo wa kirafiki kati ya Brazil na Afrika Kusini uliofanyika siku ya jumatano ambapo timu hiyo ya Brazil iliifunga timu ya Afrika Kusini magoli 5-0.
ANGALIA PICHA,BINADAMU WALIOISHANGAZA DUNIA KWA KUFANYA MAMBO MAKUBWA WAKIWA HAWANA BAADHI YA VIUNGO VYA MWILI
Friday, 7 March 2014
SEX WORKERS FIGHT TO LEGALISE THEIR TRADE
Durban – “We choose to work in the sex industry, and we want to continue our trade without fear of harassment and abuse, by the public and members the SAPS,” said a memorandum handed to Department of Justice acting regional head, Mable Ramela, reported the Daily News on Friday.
According to the report, the handing over of the memorandum was part of a national movement to decriminalise sex work. The initiative was headed by Sisonke sex workers’ movement.
The group said the law against sex work is driving the stigma attached to the industry, and
HIKI NDICHO ALICHOKIANDIKA DAVID MOYES KWENDA KWA MASHABIKI WA MAN UTD
Kocha wa Manchester United David Moyes ameandika barua ya wazi kwa
mashabiki wa klabu hiyo akielezea kwamba msimu wake wa kwanza ndani ya
klabu umekuwa m'bovu zaidi kuliko ilivyotegemewa.
Akiwasifu mashabiki kwa uvumilivu wao, Mscotish ambaye aliteuliwa na
Sir Alex Ferguson, amekiri kwamba matokeo yao mabovu yamemshangaza mpaka
yeye lakini ana uhakika kila kitu kitakaa sawa mbeleni.
ANGALIA PICHA JINSI BUNGE LA KATIBA LILIVYO NA MAMBO HUKO DODOMA
THESE ARE 10 RICHEST MAN IN AMERICA,STILL BILL GATES FOR 20 YEARS NOW HE IZ IN SAME POSITION
1. Bill Gates – Age: 57; net worth: $72billion |
Kwa mara
nyingine tena, Bill Gates amekamata nafasi ya kwanza kwa mwaka wa 20
mfululizo kama mtu tajiri zaidi nchini Marekani. Tazama orodha ya Forbes
ya watu 10 matajiri zaidi nchini humo mwaka 2013
ANGALIA PICHA-MJAMZITO ALIPOAMUA KULITOSA GARI LAKE BAHARINI HUKU KUKIWA NA WATOTO NDANI
Mama alivyopeleka hili gari mpaka baharini kwa makusudi
Hii
imetokea Marekani ambapo mama huyu mwenye umri wa miaka 32 akiwa ni
mjamzito, aliamua kuliendesha gari hili na kuliingiza kwenye bahari kwa
makusudi huku watoto wake wakipiga kelele kwamba mama anajaribu
kutuua.Watoto wa Mwanamke huyu ambae imeripotiwa kwamba bado yuko
hospitali akifanyiwa vipimo vya matatizo ya akili, ambao wana umri wa
miaka
Thursday, 6 March 2014
THIS THE MONEY WHICH DICTATOR SANI ABACHA WAS STEAL WHEN HE WAS NIGERIA LEADER
United States said Wednesday it had ordered a freeze on $458 million in assets stolen by former Nigerian dictator Sani Abacha and his accomplices and hidden in European accounts.
The Justice Department said the corruption proceeds — stashed away in bank accounts in Britain, France and Jersey — were frozen at Washington’s request with the help of local authorities
Wednesday, 5 March 2014
DA'S PLAN GOVERMENT IN FREE STATE
Cellphone image of female leaders for the Democratic Alliance in the Free State from left: DA Free State chairperson, Annelie Lotriet, DA Free State premier
FAMILY MEMBERS SUPORT OSCAR
Family members support Oscar Pistorius (not seen) at the North Gauteng High Court in Pretoria, South Africa on Wednesday
OSCAR TRIAL
Oscar Pistorius appears in court on Wednesday, 5 March 2014.The double amputee and Paralympian is appearing in the North Gauteng High Court in Pretoria,
URUSI YASEMA HAIJAPELEKA MAJESHI UKRAINE
Rais Vladimir Putin wa Urusi, amesema bado hakuna haja kwa nchi yake kupeleka majeshi nchini Ukraine.
Bwana Putin amesema Urusi ina haki ya kutumia njia zote kulinda raia wake walioko mashariki mwa Ukraine.
Amekanusha
taarifa kwamba majeshi ya Urusi yamewazingira raia wa Ukraine walioko
katika jimbo la Crimea, bali ni watu wanaoiunga mkono Urusi na ambao
wanajilinda wenyewe.
WILL BAFANA BAFANA BEAT BRAZIL?
Seven Brazilian players have arrived in
South Africa for Wednesday’s match against Bafana Bafana while the rest
will landed at OR Tambo International Airport later on Monday (22h00).
The match will take place at FNB Stadium and will kick off at 19h00.
Subscribe to:
Posts (Atom)